Gundua mali mpya zilizoongezwa hivi karibuni kwenye Frajuu Scout!
Tsh 250,000
nyumba ni mpya ipo karibu na lami, umeme maji yapo kila mtu na mita yake...
KINONDONI, Dar es Salaam
Tazama ZaidiTsh 23,000,000
Nyumba ina vyumba vitatu, sebule, master bedroom, choo(public toilet), nyumba i...
milelani, Arusha
Tazama ZaidiTunatoa huduma bora kwa wateja wote wanaotafuta makazi na ardhi.
Tunajitahidi kutoa huduma bora kwa kila mteja.
Timu yetu ina uzoefu mkubwa katika sekta ya mali.
Tunazo nyumba, viwanja na vyumba kwa kila bajeti.
Tunapatikana muda wowote kusaidia na kujibu maswali.
Katika Frajuu Digitals, tunatoa huduma bora zinazohusiana na mali isiyohamishika. Tunaunganisha wanunuzi na wauzaji wa nyumba, ardhi, vyumba vya kupanga, na ofisi. Pia tunasaidia katika uuzaji wa makazi kupitia majukwaa ya kidigitali.
Tunakuunganisha na wanunuzi halisi wa nyumba kwa haraka kupitia tovuti yetu na mitandao ya kijamii.
Wapangaji wanapata fursa ya kuona chaguzi nyingi kwa urahisi kwa kutumia mfumo wetu wa kutafuta vyumba.
Tunaorodhesha viwanja vinavyouzwa na kutoa taarifa zote muhimu kama ukubwa, bei na eneo.
Tunasaidia biashara kupata maeneo ya ofisi yanayofaa kulingana na bajeti na mahitaji yao.
Tunasaidia mawakala wa nyumba kuonekana zaidi mtandaoni kupitia mitandao ya kijamii na Google SEO.
Huduma kwa wateja wetu ni kipaumbele. Tunapatikana kujibu maswali na kutoa usaidizi muda wowote.
Samahani! Hatukuweza kupata makala kutoka blogu kwa sasa.