Jinsi Tunavyofanya Kazi

FrajuuConnect ni jukwaa linalowawezesha wateja (wanunuzi au wapangaji) kuwasiliana moja kwa moja na wauzaji au wamiliki wa nyumba, viwanja, vyumba, au ofisi.

Tunaunganisha tu - hatuhusiki moja kwa moja na mchakato wa biashara

Tunapenda kuweka wazi kuwa sisi hatufanyi kazi kama wakala wa mali isiyohamishika wala hatuhusiki na makubaliano ya kibiashara kati ya pande mbili. Jukumu letu ni:

Hatuwajibikii kwa mambo yafuatayo:
Tahadhari kwa Watumiaji:

Tunashauri kila mtumiaji kuhakikisha anafanya uchunguzi wa kutosha kabla ya kufanya malipo yoyote. Kutana na muuzaji ana kwa ana, angalia eneo la mali, na hakikisha kila kitu kiko sahihi.

Wasiliana Nasi

Kwa maswali au maoni, tafadhali wasiliana nasi kupitia info@frajuudigitals.com

Tarehe ya Mwisho ya Maboresho: Mei 2025